Перейти к содержимому

Dr. Elie VD Wamian - TIBA THABITI YA #MAHUSIANO | MBINU ZA KITAALAMU ZA KUREJESHA MHEMKO ULIO POTEA

Hub of Wisdom Inc.

0:00 / 0:00

Dr. Elie VD Wamian - TIBA THABITI YA #MAHUSIANO | MBINU ZA KITAALAMU ZA KUREJESHA MHEMKO ULIO POTEA

44 948 просмотров · 1 год назад
Hub of Wisdom Inc.
150 тыс. подписчиков
44 948 просмотров · 1 год назад
"Mapenzi ya watu wengi na wewe unayetusikiliza sasa hivi unajua kabisa ndoa yako ina maigizo. Ni muda wa kuacha hayo na kurejea kwenye mfumo unaofaa." Anasema Dr. Elie Wamian katika mtirirko huu uliosheheni hekima ndani ya kila sentensi katika kiwango kinachotosha kuboresha mahusiano yako. Zingatia vidokezo hivi na uchukue hatua ya kuboresha mahusiano yako. Angalizo: Mazungumzo haya yamelenga kutoa ushauri wazi wenye tija ya kundi kubwa na hayana garantii ya kufikia matarajio yako kibinafsi. Tafadhari sikiliza na utumie katika namna inayokufaa wewe. Subscribe ili upate matoleo mengine yanayofuata. Tufuatilie katika mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc #positivevibes #elie #mahusiano #thewisetz #rejesha #radha #swahili