Перейти к содержимому

Passo Music - Kuwa na wewe (Official Visualizer)

Passo

0:00 / 0:00

Passo Music - Kuwa na wewe (Official Visualizer)

35 127 просмотров · 1 год назад
Passo
2,21 тыс. подписчиков
35 127 просмотров · 1 год назад
MMP Entertainment presents: Passo Music performing "Kuwa na wewe" on this Bongo Kompa. Produced by Click Master and video directed by Big Visuals from Tanzania. Lyrics: Oh yeah mhmm Naimba mapenzi au sio Click master Oh yeah oh yeaaa Sijaona mwengine Sijaona, sijaona Wa kufanana na we Sijaona kingine zaidi Ya moyo wangu Cha kukupa wewe Mmmh Najiuliza ulikuwaga wapi before Walinitenda nusu kifo Nusu kifo, hooo We ndio umeituliza roho Kwa kunipenda Mpaka mwisho Natamani siku Zirudi nyuma Tuanze upya Tuanze upya Natamani saa Zirudi nyuma Nikuone upya Na siwezi juta Kuwa na wewe Kuwa na wewe Baby heee Kuwa na wewe Okay Kuwa na wewe Kuwa na wewe Nafsi nahisi inasita Kukupoteza ndio naogopa Mchumba nichum mwaah Nahisi nafsi inakuita Na moyo mmoja sio sita Mchumba niko taabani Ah my lover Unapenda kususa na kujinunisha Ila ukibembelezwa unajibebisha Mhhh we ukiona pesa unajichekesha Cha ajabu Nikikupa unazirudisha Natamani siku Zirudi nyuma Tuanze upya Tuanze upya Natamani saa Zirudi nyuma Nikuone upya Na siwezi juta Kuwa na wewe Kuwa na wewe Baby heee Kuwa na wewe Kuwa nawe Okay Kuwa na wewe Kuwa na wewe heee Kuwa na wewe Kompa kompa kompa kompa Wewe huku njoo Kamix lizer Mpaka kiitike