JOY AFARIKI GHAFLA AKICHEZA MPIRA NA MTOTO WA BOSS | ALILALAMIKA KUTOLEWA KAFARA || UKWELI HUU HAPA
Kibox Media
0:00 / 0:00
JOY AFARIKI GHAFLA AKICHEZA MPIRA NA MTOTO WA BOSS | ALILALAMIKA KUTOLEWA KAFARA || UKWELI HUU HAPA
3 497 просмотров · 20 ч назад
Kibox Media
249 тыс. подписчиков
3 497 просмотров · 20 ч назад
Kufuatia Tukio la Kifo Cha Joy / Joyce wa Kenya ambae karipotiwa kifariki akiwa Saudi Arabia KikazinKama Dada wa Kazi, kumeibuka Mambo Mengi huku Wengine wakidai Yupo Hai ni Mzima japo Ushahidi hauja Patikana..
Wapo watu wanasema Kabla Ya Kifo chake alikuwa anaumwa Kabla , Wengine wameshauri Kuwa Ukienda Saudi Arabia. Hupaswi Kucheza na watoto Siyo Lazima na ikiwezekana Epuka Kabisa.
Tumekusogezea Kwa kina Tukio Hili la kushangaza Linalo Tajwa kuwa ni Miongoni mwa Tukio Lisilo na Majibu Why Boss Arekodi Tukio kabla ya Marehemu kukumbwa na UMAUTI?
Usisahau Subscribe Account yetu ya Kibox Media Kwa Update Zaidi.
Other Searching keywords
joy aliyekufa akicheza Mpira, joy wa Kenya aliyekufa akicheza Mpira, joy , Tukio la joy Kufa akiwa anacheza Mpira na Mtoto, joy aliyekufa akicheza Mpira na Mtoto.