Ujerumani na historia ya ukoloni
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
Ujerumani na historia ya ukoloni
1 823 просмотра · 3 года назад
DW Kiswahili
336 тыс. подписчиков
1 823 просмотра · 3 года назад
Historia ya ukoloni wa Ujerumani ni jambo geni miongoni mwa raia wengi wa taifa hilo. Iwe ni mauaji ya halaiki nchini Namibia ya mwaka 1904 au ubabe wa utawala wa kijerumani kwenye makoloni yake ya Afrika Mashariki, ni wajerumani wachache wanaofahamu hayo.
Lakini kwenye miji kadhaa ya Ujerumani zipo kumbukumbu na alama kuhusu ukoloni wa nchi hiyo. Nyingi kati ya hizo zilizitengenezwa kuonesha upinzani wa ukoloni.
Mwandishi wa DW Lennart Attenberger ameitembelea miji miwili ya Ujerumani kutusimulia historia ya sanamu na alama hizo.
#Kurunzi