Перейти к содержимому

USO KWA USO MAKONDA NA RC KENANI ARUSHA,AWASHA MOTO OFISINI NA KUKAA PAMOJA..

SWAHILI MEDIA

0:00 / 0:00

USO KWA USO MAKONDA NA RC KENANI ARUSHA,AWASHA MOTO OFISINI NA KUKAA PAMOJA..

11 106 просмотров · 1 год назад
SWAHILI MEDIA
87 тыс. подписчиков
11 106 просмотров · 1 год назад
Aliye kuwa Mkuu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda mapema leo 30 Juni, 2025 amekabidhi ofisi rasmi kwa Mkuu mpya wa Mkoa huo Mhe. Kenan Kihongosi ambapo ameahidi kuendelea kumpa ushirikiano katika kila jambo ambapo atalihitaji kutoka kwake bila kujali umri na kumtangulia kuingia katika uongozi Serikalini. Makonda ametoa ahadi hiyo wakati akitoa hotuba yake ya kuaga wananchi na Viongozi mbalimbali waliokusanyika katika viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo na kumkaribisha Mkuu mpya wa Mkoa katika ofisi yake mpya. Aidha amewataka wananchi kuendelea kumpa ushirikiano Mhe. Kihongosi ili kuendelea kutekeleza majukumu aliyopangiwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kwa upande wake Mhe. Kenan Kihongosi amemshukuru mtangulizi wake Makonda kwa kazi alizozifanya katika Mkoa huo na kuahidi pia kuziendeleza.