Перейти к содержимому

Padre aelezea funga ya Wakristu na dini nyingine

Radio Mbiu

0:00 / 0:00

Padre aelezea funga ya Wakristu na dini nyingine

647 просмотров · 7 мес. назад
Radio Mbiu
31,7 тыс. подписчиков
647 просмотров · 7 мес. назад
PICHA JONGEFU|| MISA YA JUMATANO YA MAJIVU -BUKOBA "Wakristo hatufungi chakula bali tunafunga mambo yote yaliyo mema na hatufungi dhambi, tunavyofunga na kuviacha, tunaacha viwasaidie wengine, mfungo ni kwaajili ya kujitaabisha ili upate thawabu ya Mungu, na taabu yako iwafaidishe wengine." Sehemu ya homilia ya Monsinyori Samwel Muchunguzi, Makamu wa Askofu Jimbo Katoliki Bukoba, wakati wa adhimisho la Misa ya Jumatano ya Majivu. Misa Takatifu imeadhimishwa na Monsinyori Samwel Muchunguzi, Makamu wa Askofu Jimbo Katoliki Bukoba, Kutoka Kanisa Kuu la Bikira Maria Mama Mwenye Huruma -Bukoba, Jimbo Katoliki Bukoba. www.radiombiu.co.tz #RmSautiYaFaraja