Upendo - Team Kiambu Youth(Official 4K Video)
Team Kiambu Youths
0:00 / 0:00
Upendo - Team Kiambu Youth(Official 4K Video)
23 078 просмотров · 3 мес. назад
Team Kiambu Youths
929 подписчиков
23 078 просмотров · 3 мес. назад
Upendo by ©Team Kiambu Youths
Kwa Yale yote umetenda baba ,
Tumekuja kwako kutoa shukurani
Umekua baba mwema kwetu sote ,
Sadaka za sifa baba pokea,
Umenipa ulinzi umenipigania,
Bwanaa nashukuru,ukaninasua na mitego ya muovu,
Moyo wangu kaujaza shukurani
Sina baba mwingine ila wewe
Mwenye upendo mwingi kama wako
Mama aweza sahau mwanawe
Ila baba huezi kuniacha
Sitaabudu masanamu kamwe
Nitakutukuza ewe bwana, heshima zangu nitakutolea,
Maana Elohim haulinganishwi
Wewe ni bwana wa mabwana ,sifa zote zakufaa wewe,
Kama daudi nikusifu, Sifa zako zitande kote
Ninashauku ya kuuridhi ufalme, naye Yahshua na wateule,
Nijaze roho wako ewe baba, aziongoze hatua zangu,
Yahshua wangu wewe ulinionaa, kati ya wengi ukanichagua,
Kwenye anasa ukaniokoa, na ukanifanya mwanao
Video by Sammy Neat
Audio: Bwenieve studios