Benki ya Dunia wabaini “miradi kichefuchefu ya maji” Igunga
Azam TV
0:00 / 0:00
Benki ya Dunia wabaini “miradi kichefuchefu ya maji” Igunga
141 просмотр · 2 года назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
141 просмотр · 2 года назад
Upatikanaji wa maji kwa watu wanaoishi vijijini umetajwa kuendelea kuwa wa changamoto katika maeneo mengi ikiwemo wilayani Igunga kutokana na ukame hususani katika nyakati za msimu wa kiangazi.