Перейти к содержимому

UMENIBARIKI BWANA[OFFICIAL VIDEO]

DADY PRODUCTIONS

0:00 / 0:00

UMENIBARIKI BWANA[OFFICIAL VIDEO]

45 844 просмотра · 4 года назад
DADY PRODUCTIONS
26,9 тыс. подписчиков
45 844 просмотра · 4 года назад
Kwaya ya Mtakatifu Veronica - Kigango cha Ijitu Parokia ya Ilumya [Masanza Kona] Jimbo katoliki la Shinyanga wanapenda kutukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo huu unaitwa UMENIBARIKI BWANA, utunzi wake M.D. Matonange Wimbo huu Mpya upo miongoni mwa nyimbo nyingine kumi katika Album yao itakayokujia hivi karibuni. Kazi hii imerekodiwa katika studio za DADY PRODUCTIONS _Sound Engineer: Dady Rutta _Video Shot & Directed By Dady Rutta Contact DADY Productions for booking dadyrutta88@gmail.com +255 745 260 131/+255 715 068 534 #neemayamungu #mbeleyamiungu #neemayamungu #umenibarikibwana