Перейти к содержимому

Mamilioni ya Waislam wanaanza ibada ya Hajj 2019 Makka

Swahili Villa Online TV | Washington, D.C

0:00 / 0:00

Mamilioni ya Waislam wanaanza ibada ya Hajj 2019 Makka

5 473 просмотра · 7 л. назад
Swahili Villa Online TV | Washington, D.C
57,5 тыс. подписчиков
5 473 просмотра · 7 л. назад
Zaidi ya waumini milioni mbili kutoka kila pembe ya dunia wanaanza kutekeleza nguzo ya tano ya dini ya kiislam, Hajj, kwa kuhiji Makka na kwenda kuzuru pia Madina alikozikwa Mtume Muhammad. Kesho Jumamosi August, 10 waumini watapanda mlima Arafat unaojulikana kama Mlima wa Rehma kwaajili ya kuomba duwa na kutubia kabla ya kurejea Mina kwaajili ya ibada ya kumpiga mawe shetani au Jamarat. Ibada hiyo ndio mwanzo wa siku kuu ya iddi el Adha ambayo itasherehekewa jumapili inayokuja. Baadae mahujaj wanabidi warejee katika msikiti mkuu wa Makka kuizunguka mara saba Qaaba, ili kuwaga. Via dw.com