FAMILIA YA SALU T YAFUNGUKA || SALU T' FAMILY OPEN UP !!
Kariakoo Radio
0:00 / 0:00
FAMILIA YA SALU T YAFUNGUKA || SALU T' FAMILY OPEN UP !!
725 просмотров · 1 год назад
Kariakoo Radio
564 подписчика
725 просмотров · 1 год назад
Msanii Mkongwe wa HIP HOP nchini Tanzania, SALUTABA MWAKIMWAGILE maarufu kama SALU T alifariki Dunia jijini MBEYA tarehe 15, April 2023. Msanii huyo alifariki akiwa anaendelea kupewa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya. Jumanne ya tarehe 12, April 2023, Salu T akiwa mkoani Mbeya katika Harakati zake za maisha, alipata ajali ya gari iliyomsababishia majeruhi na maumivu ya Mgongo.
SALU T amewahi kutamba na ngoma kama CHUNGA SANA aliyomshirikisha Msanii AY (2006) na kutayarishwa na Producer LINDU, na ngoma nyingine nyingi ikiwa pamoja na ALBUM iitwayo HAZINA.
Marehemu alizikwa tarehe tarehe 17, April 2023 jijini Dar es Salaam-Tanzania.
Mungu ailaze pema ROHO ya SALU T 🙏🏿
##kariakooradio ##daressalaamtanzania ##tanzania #kariakoo #salut