Wasemavyo Wadau wa Habari Kuhusu Nukta Africa
Nukta Africa
0:00 / 0:00
Wasemavyo Wadau wa Habari Kuhusu Nukta Africa
33 просмотра · 13 дн. назад
Nukta Africa
62 подписчика
33 просмотра · 13 дн. назад
Wadau wa habari wametoa maoni tofauti kuhusu kampuni ya habari na teknolojia ya Nukta Africa kuhusu mchango wake katika ukuaji na uimarishaji wa tasnia ya habari Tanzania.
Maoni yao yamejikita zaidi kuzungumzia mafunzo yanayotolewa na kampuni hiyo hasa ujuzi wa kisasa unaohitajika katika sekta ya habari na mawasiliano.