Перейти к содержимому

St. Ignatius of Loyola Choir, Tassia Parish, Nairobi - Toba

ST. IGNATIUS OF LOYOLA CHOIR TASSIA PARISH

0:00 / 0:00

St. Ignatius of Loyola Choir, Tassia Parish, Nairobi - Toba

7 603 просмотра · 6 месяцев назад
ST. IGNATIUS OF LOYOLA CHOIR TASSIA PARISH
2,4 тыс. подписчиков
7 603 просмотра · 6 месяцев назад
TOBA (Ee Mungu wa huruma, tunakuja kwako sisi tunalia)x2 Kwa maana sisi tuwakosefu tunakuomba Bwana utuhurumie. Kwa maana sisi tuwakosefu tunakusihi Baba utuhurumie. Twatubu, twatubu kwako Bwana tunakulilia tusamehe makosa yetu, pokea pokea sala zetu, utujalie huruma yako 1. Tumekosa mbele yako ewe Bwana, tumetenda maovu, twakuja kwako, tunatubu tusamehe. 2. Magonjwa mengi Bwana yasio tiba yametuvamia, twakuja kwako, twakuomba utukinge 3. Janga nyingi zatukumba duniani tumeshuhudia, twakuja kwako tunaomba tuondolee. 4. Ajali barabarani zimezidi kutuangamiza twakuja kwako tunakuomba tuepushe.