QASWED VIDEO LYRIS "IPO SIKU"
MIFTAH_SALAAM
0:00 / 0:00
QASWED VIDEO LYRIS "IPO SIKU"
884 просмотра · 6 месяцев назад
MIFTAH_SALAAM
1,56 тыс. подписчиков
884 просмотра · 6 месяцев назад
Hii sio qaswed tu bali ni Mawaidha ya kutosha kwetu sisi qaswed hii Mtunzi ni Idrisa modo imewekwa saute na Ostadh Rashedy hui Qaswed imejigawa kwa vipengele viine navyo ni
1. Malaika ushuka na kuchukua roho yake
2. Mwili sako utaoshwa na kukafiniwa
3. Utawekwa kwenye jineeza nakuzikwa
5. Maswali utakayo ulizwa kaburini
Tujiandaeni na iyo safari [IDRISA MODO