Перейти к содержимому

KUNENA KWA LUGHA

Mwl. Mgisa Mtebe

0:00 / 0:00

KUNENA KWA LUGHA

51 518 просмотров · 6 л. назад
Mwl. Mgisa Mtebe
26,8 тыс. подписчиков
51 518 просмотров · 6 л. назад
16Anayeamini na kubatizwa ataokolewa. Asiyeamini atahukumiwa. 17Na ishara hizi zitaandamana na wale wanaoamini: Kwa jina langu watatoa pepo na watasema kwa lugha mpya. 18Wakishika nyoka au wakinywa kitu chochote chenye sumu, hakitawadhuru. Watawawekea wagonjwa mikono, nao watapona.” #Mgisamtebe #Mafundisho #Kunenakwalugha