UKweli Kuhusu Mkate ,Wali , Ugali - Kwanini Mambo Yamekuwa ni Mengi Mitandaoni
Doctor Daniel
0:00 / 0:00
UKweli Kuhusu Mkate ,Wali , Ugali - Kwanini Mambo Yamekuwa ni Mengi Mitandaoni
2 727 просмотров · 6 ч назад
Doctor Daniel
69,8 тыс. подписчиков
2 727 просмотров · 6 ч назад
🍚 Unakula wali, mkate au ugali kila siku? Fahamu kinachoweza kutokea mwilini mwako!
Vyakula hivi ni sehemu ya mlo wetu wa kila siku, lakini namna vinavyosindikwa na kiasi tunachokula vinaweza kuathiri afya zetu.
Refined carbohydrates (wanga uliokobolewa au kusindikwa) kama wali mweupe, mkate mweupe na ugali wa unga uliokobolewa vinaweza:
1. Kuongeza kasi ya kupanda kwa sukari kwenye damu.
2. Kuchangia kuongezeka kwa uzito pale tunapokula zaidi ya mahitaji ya mwili.
3. Kuongeza hatari ya insulin resistance kwa kuzingatia mlo mzima na mtindo wa maisha.
4. Kuwa na nyuzinyuzi (fiber) chache ukilinganisha na nafaka zisizokobolewa.
Je, maana yake uache kula wali, mkate na ugali? HAPANA!
Jambo muhimu ni kujua kiasi, aina ya chakula na namna ya kusawazisha mlo wako.
Afya bora inaanza na maamuzi madogo tunayofanya kila siku. ❤️
#Afya #LisheBora #RefinedCarbohydrates #Ugali #Wali #Mkate #NutritionEducation