KIJANA MNENE ALIYEDHARAULIWA ALIGEUKA KUWA SIRAHA HATARI YA CIA!
Swahili Recap и Swahili Recap Plus
0:00 / 0:00
KIJANA MNENE ALIYEDHARAULIWA ALIGEUKA KUWA SIRAHA HATARI YA CIA!
64 699 просмотров · 3 месяца назад
Swahili Recap и Swahili Recap Plus
64 699 просмотров · 3 месяца назад
Baada ya miaka 20, anarudi akiwa mtu tofauti kabisa — mwenye nguvu, ujasiri, na uwezo mkubwa wa kupambana.
Rafiki yake wa zamani hajui kuwa kukutana naye tena kutamwingiza kwenye mission hatari iliyojaa CIA, siri za serikali, usaliti, risasi, na mapambano ya kusisimua. Kadri ukweli unavyoanza kufichuka, inaonekana kuna mtu hatari anayewatumia wote kwa mpango mkubwa wa kisiri.
Je, kijana huyu aliyedharauliwa ataweza kuthibitisha kuwa si dhaifu tena? Na je, ataweza kulipiza maumivu ya zamani kwa njia ambayo hakuna aliyotarajia?
Tazama simulizi hii hadi mwisho ili ujue kilichotokea.