Перейти к содержимому

UTATA KUHUSU MAKABILA 12 YA WAISRAEL WALIOPOTEA KATIKA BIBLIA YA ETHIOPIA

BAYYINAT DM TV

0:00 / 0:00

UTATA KUHUSU MAKABILA 12 YA WAISRAEL WALIOPOTEA KATIKA BIBLIA YA ETHIOPIA

2 038 просмотров · Трансляция закончилась 1 день назад
BAYYINAT DM TV
45,4 тыс. подписчиков
2 038 просмотров · Трансляция закончилась 1 день назад
Habari za wana wa Israel zimeandikwa katika vyanzo mbali mbali. Chanzo kikuu cha taarifa zao ni Biblia. Unabii, Ufunuo na historia ya Waisrael zilipokelewa kwanza kwa lugha za Kiebrania na Kiaramu (Agano la Kale) na Kiyunani (katika Agano Jipya). Hakuna chanzo kingine kilicho sahihi kilichopokelewa katika lugha tofauti na hizo, mf lugha ya Ge’ez ya Ethiopia. Hivyo ili kupata historia iliyo kamilifu huna budi kurudi kwenye vyanzo vikuu halisi katika lugha ya Kiebrania na Kiyunani. Ukivipuuza hivyo na kuegemea kwenye taarifa za baadaye pekee utazua utata na kushindwa kuthibitisha unabii, ufunuo na historia sahihi ya Wana wa Israel. Katika somo hili tutachambua baadhi ya utata huo ili wewe msikilizaji usiingie katika utata huo. Karibu