Перейти к содержимому

Nikki Mbishi - MASIHI DAJJAL

Nikki Mbishi[Unju]

0:00 / 0:00

Nikki Mbishi - MASIHI DAJJAL

21 629 просмотров · 1 год назад
Nikki Mbishi[Unju]
47,6 тыс. подписчиков
21 629 просмотров · 1 год назад
Lyrics:1 Kabla haijafika ile saa ya maangamizi, Nimeagizwa kuwasihi muanze fanya maandalizi, Atakuja zimwi atawala hawamalizi, Atatawala kwa upanga na watakaompinga hawakawizi, Ataleta mvua kwenye jangwa, Jua kwenye mafuriko kabla haijapigwa parapanda, Atafanya miujiza zaidi ya mkate  na samaki, Hamuoni wafuasi wake wanaonekana mambo safi, Hapo hawako nasi kinafsi bali kinaf'ki, Wanatukuza jina lake mamilioni kwa malaki, Siku mkitahamaki ndio siku mtahamaki, Kuona mpaka viongozi wa dini wanamlaki, Unagundua nini ukichunguza hiki kizazi, Huoni mtoto wa kambo amefukuzwa Kizimkazi, Haki zake atapata amkimtukuza ajaye, Kwa sasa mpeni kesi ka" ya Nguza na Wanawe, Amini kwamba amini kwamba, Amini kwamba amekaribia huyo mwamba, Unaambiwa ana jicho moja kwenye paji, La uso anatisha kama muoga humtazami, Uwe mkristo,mhindu,muislam au mpagani, Hata umlaani vipi ni kelele za mfa maji, Tazama mnvyoandaa watoto wenu kumpokea, Mama Asili anawachora vipofu mnavyopotea, Lyrics:2 Watakao tii na kusujudu, Mbele yake na kukiri kwamba yeye ni Masihi na kumuabudu, Hao Ndio watakao keti naye Enzini, Wakiamini kuwa hawatokufa yamkini, Lakini amini amini nawaambieni, Ishara mnazoziona mashaka zitilieni, Injili za uongo zisikieni, Wahubiri wa mchongo wasifieni, Kwenye asili bakieni, VICARIUS FILII DEI, 666 imefika ngojeni picha, Vita zisokwisha kukicha ni patashika, Ni jambo la kawaida kafiri kukatwa kichwa, Majanga ya asili kama Hanang, Au Tsunami Japan, Ama ubaguzi wa rangi kule Durban, Hakuna upendo tunastahimili chuki, Hapa Kim Jon kule Vladimir Putin, Dajjal anakuja walimwengu, Matajiri bora muanze kuuza mali zenu, Amewashawishi mumfuate juu jali lengo, Hamtoishi kwa mkate tu bali neno, Nadhani mnahitaji meditation, Ili mjitambue mpate mental medication, Why Don't You reform a happy nation?, Nishajitoa sadaka my life's dedication not to mention, #UNJU