Перейти к содержимому

Money Chat Episode 1: Hati Fungani

Orbit Securities

0:00 / 0:00

Money Chat Episode 1: Hati Fungani

1 960 просмотров · 2 года назад
Orbit Securities
716 подписчиков
1 960 просмотров · 2 года назад
Je Hatifungani ni nini? Ni dhamana ya deni inayotolewa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kukusanya fedha kwa madhumuni mbalimbali ya umma, kama vile kugharamia miradi ya miundombinu, nakisi ya bajeti, au matumizi mengineyo ya Serikali. Mwekezaji wa hatifungani hulipwa riba kwa vipindi tofauti tofauti na kurejeshewa mtaji wake pindi inapopevuka. Kupitia kuwekeza kwenye HATIFUNGANI za Serikali unanufaika na: -Uwekezaji ulio SALAMA na UHAKIKA zaidi. -FAIDA yenye kuridhisha. Pia hatifungani zinaweza kutolewa kama dhamana kwa ajili ya mkopo. -Unalinda mtaji wako wa awali lakini pia unapata rasilimali yenye ukwasi zaidi.