NENO LA SIKU | Mathayo 20 | Maombi Ya Kufunguliwa Kwenye Kazi | Isaac Javan
Neno La Siku
0:00 / 0:00
NENO LA SIKU | Mathayo 20 | Maombi Ya Kufunguliwa Kwenye Kazi | Isaac Javan
8 052 просмотра · 2 года назад
Neno La Siku
11 тыс. подписчиков
8 052 просмотра · 2 года назад
Leo tunasoma kitabu cha Mathayo sura ya ishirini, na tunaenda kufanya maombi ya kufunguliwa kwenye kazi. Vifungo vingi vya kiroho vinapitia kwenye maeneo ya kazi na kuathiri maisha kiujumla.
Na jambo hili halikuanza leo, lakini lilianza tangu mwanzo kwenye bustani ya Edeni. Na mpaka leo shetani anatesa watu kwenye maisha yao kupitia eneo la kazi.
Nakuombea YESU akufungue na akupe ushindi mkuu kupitia maombi haya ya siku ya leo. Damu ya YESU ikufunike. Mungu akubariki sana na kukutunza. Amen