Перейти к содержимому

Je, Uko Tayari kwa Shangwe kuu? - NITAINGIA LANGO LAKE

SWAHILI GOSPEL SOUNDS и ещё 3

0:00 / 0:00

Je, Uko Tayari kwa Shangwe kuu? - NITAINGIA LANGO LAKE

237 176 просмотров · 4 месяца назад
SWAHILI GOSPEL SOUNDS и ещё 3
237 176 просмотров · 4 месяца назад
Shalom watu wa Mungu, welcome to our channel ‪@swahiligospelsounds‬ subscribe, activate bell notification, share and comment Wakatinitajikuta, mbinguni kwa Baba Nitajua ya ulimwengu nimeshayaacha Haleluya nitasifu, kufika mbinguni Hosana! nitaingia kwa shangwe Nitaingia lango lake na sifa moyoni Nitaingia kwa shangwe kuu Nitasema ni siku njema bwana ameifanya Nitafurahi kufika mbinguni Nchi nzuri nchi safi, kwa Baba yangu Kuna amani kuna furaha, huko ni kusifu Tutakaa na Mungu wetu, nchi ya amani Hosana! nitaingia kwa shangwe Nitawaona watakatifu, manabi wote Hata mitume nchi hiyo, nitawaona Tutakula meza moja, nchi ya amani Hosana! nitaingia kwa shangwe