Перейти к содержимому

Maulid ya mtume | masjid jamii kitumbini { 1}

masjid jaami kitumbini

0:00 / 0:00

Maulid ya mtume | masjid jamii kitumbini { 1}

13 просмотров · 8 дней назад
masjid jaami kitumbini
16 подписчиков
13 просмотров · 8 дней назад
Karibu kwenye Channel ya Masomo ya Kiislamu kutoka Masjid Al-Jumaa, Kitumbini – Posta, Dar es Salaam. Hapa utapata darasa za kila siku za Kiislamu zinazofundishwa na Ustadh Khatib Omar – Naibu Imam wa Masjid Al-Jumaa, kuanzia Jumatatu hadi Alhamisi baada ya Swala ya Adhuri. Vilevile, channel hii inakuletea khutba za Ijumaa moja kwa moja kutoka Msikiti wa Kitumbini, zikikusudia kukuimarisha katika elimu, malezi ya kiroho na uelewa sahihi wa dini ya Kiislamu. 📌 Maudhui ya Channel: Masomo ya Kiislamu ya kila siku Tafsiri na mafunzo ya Qur’an na Hadith Khutba za Ijumaa kutoka Masjid Al-Jumaa Nasaha na muongozo wa Kiislamu katika maisha ya kila siku 👉 Jiunge nasi kwa kusubscribe, ili usipitwe na darsa na khutba muhimu kila wiki. 🕌 Masjid kitumbini