HADITHI ZA KUMNYONYESHA MTU MZIMA ZINAPINGWA NA QURAN
USTADH HUDHEIFA
0:00 / 0:00
HADITHI ZA KUMNYONYESHA MTU MZIMA ZINAPINGWA NA QURAN
198 просмотров · 3 мес. назад
USTADH HUDHEIFA
4,29 тыс. подписчиков
198 просмотров · 3 мес. назад
Katika video hii tunachambua hadithi zinazodai kwamba mtu mzima anaweza kunyonyeshwa na mwanamke ili awe mahram wake. Je, madai haya yanaafikiana na Qur'an au yanapingana nayo?
Tutatazama aya za Qur'an zinazozungumzia kunyonyesha na udugu wa kunyonya, kisha tulinganishe na hadithi hizo maarufu. Lengo ni kutafuta ukweli kwa kutumia Kitabu cha Allah kama kipimo cha mwisho.
#kunyonyeshamtumzima
#hadithi
#sahihbukhari