Перейти к содержимому

JINSI YA KUMWABUDU MUNGU KATIKA ROHO NA KWELI - Innocent Morris

Holy Spirit Connect

0:00 / 0:00

JINSI YA KUMWABUDU MUNGU KATIKA ROHO NA KWELI - Innocent Morris

2 285 просмотров · 1 день назад
Holy Spirit Connect
140 тыс. подписчиков
2 285 просмотров · 1 день назад
JINSI YA KUMWABUDU MUNGU KATIKA ROHO NA KWELI - Innocent Morris Katika somo hili utajifunza jinsi ya kumwabudu Mungu katika Roho na Kweli. Yesu alisema kuwa wakati unakuja, na sasa upo, ambapo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika Roho na Kweli. Lakini je, kumwabudu Mungu katika Roho na Kweli maana yake ni nini? Katika somo hili tutajifunza mafundisho ya Yesu kutoka katika kitabu cha Yohana 4:23-24, na kuelewa ibada ya kweli ambayo Baba anaitafuta kwa waabuduo wake. Hakika ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia sana katika maisha yako ya wokovu. Karibu sasa ujifunze somo hili. Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link:   / holyspiritconnect   Facebook Link:   / holyspiritconnect   YouTube Link:    / holyspiritconnect   WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029VbC6...