Перейти к содержимому

WIMBO WA WANYAMA @babusatv

Babusa TV

0:00 / 0:00

WIMBO WA WANYAMA @babusatv

199 373 просмотра · 8 месяцев назад
Babusa TV
63,8 тыс. подписчиков
199 373 просмотра · 8 месяцев назад
WIMBO WA WANYAMA ni wimbo wa watoto wa kucheza kwa furaha wakiigiza miondoko ya wanyama mbalimbali wa nyumbani na mwituni. Wimbo huu unawafunza watoto aina za wanyama wa nyumbani na wa mwituni na pia milio yao. Ukitaka kutazama huu wimbo kwa lugha ya Kiingereza bofya hapa    • THE ANIMALS' SONG