Unamfahamu 'Napoleon wa Afrika', Samory Toure?
TRT Afrika Swahili
0:00 / 0:00
Unamfahamu 'Napoleon wa Afrika', Samory Toure?
1 050 просмотров · 1 г. назад
TRT Afrika Swahili
55,5 тыс. подписчиков
1 050 просмотров · 1 г. назад
Ni viongozi wachache sana katika historia ya Afrika Magharibi wanaobeba hadhi ya heshima kama Samory Touré.
Toure ni shujaa aliyepiga vita utawala wa kikoloni wa Ufaransa
Toure alizaliwa miaka ya 1830 katika nchi ijulikanayo sasa kama Guinea.
Ukuaji wake kutoka kwa familia ya mfumaji mikeka hadi bingwa wa kupinga ukoloni ni kisa cha subira na ukakamavu.
Hii hapa ni historia yake.
Fuatilia Habari zetu:
🌐 https://www.trtafrika.com/sw
Tiktok
🟣 / trtafrikasw
Facebook
🔵 / trtafrikasw
Youtube
🔴 / @trtafrikasw
X
⚫ https://x.com/trtafrikaSW
Instagram
🟣 / trtafrikasw