Перейти к содержимому

TAFSIRI 8 ZA NDOTO ZINAZO HUSIANA NA VINYWAJI

NGUVU YA MAONO MEDIA.

0:00 / 0:00

TAFSIRI 8 ZA NDOTO ZINAZO HUSIANA NA VINYWAJI

2 245 просмотров · 1 г. назад
NGUVU YA MAONO MEDIA.
101 тыс. подписчиков
2 245 просмотров · 1 г. назад
Asilimia Kubwa ya ndoto anazo ziota binadamu Huwa zimebeba maana, Ni muhimu kujua Tafsiri ya ndoto unazo ziota kwasababu ndoto Nyingi Huwa zimebeba Ujumbe, Penda kufuatilia tafsiri ya ndoto unazo ziota Ukiota ndoto MBAYA ni muhimu Kuishughulikia ndoto hiyo Kwa njia ya Maombi na pia Ukiota ndoto njema Muombe Mungu AKUSAIDIE ndoto hiyo itimie sawasawa naa ulivyo Iona ndotoni Kuna Hekima kubwa Sana ya ndoto hivyo ni muhimu kuzifuatilia ndoto unazo ziota kwasababu ndoto hizo zitakuonyesha ni Mambo Gani yanayo kuja au yanayo taka kutokea hivyo Usipuuzie ndoto