MY BOSS MY EX SIMULIZI FUPI
Lumbasi Simulizi
0:00 / 0:00
MY BOSS MY EX SIMULIZI FUPI
27 541 просмотр · 5 месяцев назад
Lumbasi Simulizi
21,7 тыс. подписчиков
27 541 просмотр · 5 месяцев назад
Usiku huo sikulala vizuri. Mawazo yalikuwa mengi. Je, ni kweli? Je, nitakuwa mama?
Asubuhi ilifika haraka sana. Tulikwenda hospitali mapema kabla hata ya kuingia kazini. Nilikuwa na wasiwasi sana kiasi kwamba hata kuongea sikuweza
Instagram: @lucaslumbasi_tz
#simulizi #truestory #simulizizalumbasi