Перейти к содержимому

Wali wa mandi | Mapishi rahisi ya wali wa mandi na nyama laini yakuchambuka #Mandi #Muttonmandi

Rukia Laltia

0:00 / 0:00

Wali wa mandi | Mapishi rahisi ya wali wa mandi na nyama laini yakuchambuka #Mandi #Muttonmandi

79 719 просмотров · 5 л. назад
Rukia Laltia
439 тыс. подписчиков
79 719 просмотров · 5 л. назад
#waliwamandi #muttonmandi #rukiaskitchen Website:rukiaskitchen.com Instagram: rukias _kitchen Facebook: Rukias kitchen Cookpad: Rukias kitchen. English recipe press the link ➡️ Mutton mandi rice | How to make tasty mutton meat mandi rice | #Muttonmandi #Mandi.    • Mutton mandi rice | How to make tasty mutt...   Mahitaji ya nyama: Miguu wa kondoo Kitunguusaumu na tangawizi vijiko 2 Limau 1 Mafuta vijiko 3-4vya kula Garamasala kijiko chakula Paprika kijiko chakula Chumvi Pilipilimanga kijiko kidogo Manjano kijiko kidogo Meat masala kijiko chakula Mahitaji ya wali : Mchele vikombe 2 Mdalasini Karafuu Pilipilimanga nzima Iliki Bayleaves Zabibu Kitunguusaumu punje 2 Lozi Mafuta Maji Zafran /rangi ya machungwa Vitunguu maji 2