Перейти к содержимому

KUTAFUTA MKE KAZI HASA UKIWA NA HISTORIA KAMA MAKAME NUHUSI

Mau Mpemba

0:00 / 0:00

KUTAFUTA MKE KAZI HASA UKIWA NA HISTORIA KAMA MAKAME NUHUSI

139 981 просмотр · 5 лет назад
Mau Mpemba
104 тыс. подписчиков
139 981 просмотр · 5 лет назад
#MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar KUTAFUTA MKE KAZI HASA UKIWA NA HISTORIA KAMA MAKAME NUHUSI Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo. Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia. Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia. +255 777 001500