Перейти к содержимому

Irungu: Ndindi Nyoro hayuko opposition na inajulikana.

Radio Maisha

0:00 / 0:00

Irungu: Ndindi Nyoro hayuko opposition na inajulikana.

5 475 просмотров · 11 дней назад
Radio Maisha
213 тыс. подписчиков
5 475 просмотров · 11 дней назад
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Irungu anazungumzia siasa za kikabila, nafasi ya vyama vya kisiasa katika maeneo mbalimbali, pamoja na changamoto zinazofanya iwe vigumu kubadilisha mfumo wa siasa nchini kwa haraka. Pia anatoa mtazamo wake kuhusu mwelekeo wa siasa za Kenya na mambo ambayo wananchi wanapaswa kuyafahamu tunapoelekea katika kipindi muhimu cha kisiasa. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura