Перейти к содержимому

DAY 02: MAOMBI YA UTAKASO

SIRI ZA BIBLIA

0:00 / 0:00

DAY 02: MAOMBI YA UTAKASO

11 133 просмотра · 3 года назад
SIRI ZA BIBLIA
195 тыс. подписчиков
11 133 просмотра · 3 года назад
MFUNGO WA SIKU 30 MADHABAHUNI Ufu 2:1-5 Kwa malaika wa kanisa lililoko Efeso andika; Haya ndiyo anenayo yeye azishikaye hizo nyota saba katika mkono wake wa kuume, yeye aendaye katikati ya vile vinara saba vya dhahabu. Nayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wajiitao mitume, nao sio, ukawaona kuwa waongo; tena ulikuwa na subira na kuvumilia kwa ajili ya jina langu, wala hukuchoka. Lakini nina neno juu yako, ya kwamba umeuacha upendo wako wa kwanza. Basi, kumbuka ni wapi ulikoanguka; ukatubu, ukayafanye matendo ya kwanza. Lakini, usipofanya hivyo, naja kwako, nami nitakiondoa kinara chako katika mahali pake, usipotubu. Maarifa ya Ki-Mungu @SIRI ZA BIBLIA www.sirizabiblia.com +255 758 708 804 https://linktr.ee/sirizabiblia Instagram Account   / siri_za_biblia   SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI: M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI