Перейти к содержимому

SIKU YA SABA KATIKA BIBLIA NI HII...MWINJ. PETRO TUMAINI

Petro Tumaini TV

0:00 / 0:00

SIKU YA SABA KATIKA BIBLIA NI HII...MWINJ. PETRO TUMAINI

4 398 просмотров · 10 л. назад
Petro Tumaini TV
3,77 тыс. подписчиков
4 398 просмотров · 10 л. назад
"Kwani Biblia imetaja kabisa siku ya saba ni ipi katika siku zetu za leo? Siku ya saba ni kulingana na aonavyo mtu ,waweza fanya jumatano iwe siku yako ya saba ya mapumziko..." Naamini kauli kama hizi si ngeni kwako Watu husema hayo wasomapo Kutoka 20 : 9 "Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako." Wengi hukiri kwamba twapaswa sali siku ya saba ,siku ya sabato lakini swali limebaki ni siku ipi. Hapo ndipo kuna tofauti ,wapo wa Ijumaa, wa Jumamosi , na wa Jumapili kwa sehemu kubwa. Si lengo la video hii kushindanisha makundi hayo matatu, au kukweza kundi Fulani lionekane Takatifu. Tunatakaswa na Kweli Yohana 17:17. Hebu Biblia itueleze ni siku gani twapaswa kusalii… Biblia haijatuacha na maswali juu ya Siku ya saba, Mungu aliyesema tuikumbuke, kaeleza mwenyewe kuwa ni ipi katika siku tulijuazo leo.Fuatilia video hii