Перейти к содержимому

KWA MUDA WA SIKU SITA # TURWA YOUTH SDA CHOIR (Official video)

TURWA YOUTH SDA CHOIR TZ

0:00 / 0:00

KWA MUDA WA SIKU SITA # TURWA YOUTH SDA CHOIR (Official video)

450 просмотров · 5 дней назад
TURWA YOUTH SDA CHOIR TZ
217 подписчиков
450 просмотров · 5 дней назад
kwa muda wa siku sita tunapitia mapito mengi katika maisha magonjwa, vita, majeraha, vifo, njaa na mengine mengi hivyo tunapaswa kujikabidhi kwa Mungu aweze kutuvusha tufike mahali penye amani na pumziko wimbo huu unatusihi kumuita Mungu ashuke kwetu atuokowe nayote tunayopita katika dunia hii yenye dhiki, na mateso mengi. barikiwa na wimbo huu na ukakusogeze karibu na Bwana amen.