HOMA:Dalili,Sababu,Matibabu
WikiElimu
0:00 / 0:00
HOMA:Dalili,Sababu,Matibabu
7 236 просмотров · 6 л. назад
WikiElimu
37,5 тыс. подписчиков
7 236 просмотров · 6 л. назад
#Nyamweli_Nyamweli #Homa #WikiElimu
Homa (fever) ni dalili inayotajwa mara kwa mara kuelezea ongezeko la joto la mwili kuliko kiwango cha kawaida (kiwango cha kawaida cha joto la mdomoni ni 36.8 ± 0.7 ° C au 98.2 ± 1.3 ° F). Homa huelezeka kama ongezeko la muda mfupi la joto la mwili, kwa kawaida huwa karibu 1-2 ° C. Homa sio ugonjwa bali dalili ya ugonjwa.
TUFUATILIE
*Website:http://wikielimu.com/index.php?title=...
*Facebook:https://web.facebook.com/WikiElimu/?_... *Instagram: / wikielimu *Twittwer: / wikielimu
*Music credit:https://www.free-stock-music.com/
ASANTE SANA