NJIA 8 ZA KUPIGA PIANO AMBAZO KILA MPIGA PIANO ANATAKIWA KUZIJUA
Pianovexa
0:00 / 0:00
NJIA 8 ZA KUPIGA PIANO AMBAZO KILA MPIGA PIANO ANATAKIWA KUZIJUA
8 352 просмотра · 8 дн. назад
Pianovexa
9,25 тыс. подписчиков
8 352 просмотра · 8 дн. назад
AINA 8 ZA UPIGAJI WA PIANO | PIANO TUTORIAL KWA WANAOANZA NA WENYE UZOEFU
Je, unataka kuboresha uwezo wako wa kupiga piano? Katika tutorial hii nitakuonyesha aina 8 za upigaji wa piano ambazo zitakusaidia kuongeza ujuzi wako na kuelewa namna mbalimbali za kupiga piano.
Video hii imeandaliwa kwa ajili ya wanafunzi wa piano, wapiga piano wa kanisani, wanaopenda Gospel Music na kila mtu anayetaka kujifunza piano hatua kwa hatua.
✅ Jifunze aina mbalimbali za upigaji wa piano.
✅ Boresha ujuzi wako wa kucheza piano.
✅ Pata maarifa mapya ya kukusaidia katika mazoezi yako.
✅ Endelea kujifunza na kukuza kipaji chako cha muziki.
📌 USISAHAU:
👍 LIKE video hii kama imekusaidia.
💬 COMMENT na uniambie ni aina gani ya upigaji wa piano unayoipenda zaidi.
🔔 SUBSCRIBE kwenye channel yangu na uwashe kengele ili usikose tutorial nyingine za piano.
📢 SHARE video hii na marafiki zako wanaopenda kujifunza piano!
Asante sana kwa kuunga mkono channel yangu. Mungu akubariki! 🙏
#PianoTutorial #PianoLessons #GospelPiano #KujifunzaPiano #SwahiliMusic