Перейти к содержимому

02. NASABU NA KUZALIWA KWA MTUME ﷺ | Darsa Ya Seera #02 | Al Akhy Abuw Raslaan Muwsa Kilongozi

Markaz ImaamMaalik

0:00 / 0:00

02. NASABU NA KUZALIWA KWA MTUME ﷺ | Darsa Ya Seera #02 | Al Akhy Abuw Raslaan Muwsa Kilongozi

102 просмотра · 1 мес. назад
Markaz ImaamMaalik
1,22 тыс. подписчиков
102 просмотра · 1 мес. назад
Katika Darsa Ya Seera ya Mtume Muhammad ﷺ – Darsa Na. 02, Mfundishaji Al Akhy Abuw Raslaan Muwsa Kilongozi حفظه الله ورعاه anaendelea kufafanua kitabu: 📖 ألفية العراقي في السيرة Katika darsa hii tunajadili kwa kina nasabu tukufu ya Mtume Muhammad ﷺ na kuzaliwa kwake, pamoja na mambo muhimu yanayohusiana na mwanzo wa maisha ya Mtume wetu ﷺ. 🎙️ MADA: NASABU NA KUZALIWA KWA MTUME ﷺ 📚 KITABU: ألفية العراقي في السيرة 🎓 MFUNDISHAJI: Al Akhy Abuw Raslaan Muwsa Kilongozi حفظه الله ورعاه 📍 MARKAZ AL-IMAAM MAALIK – DODOMA 🔔 Subscribe kwenye channel hii na washa 🔔 ili kupata darsa nyingine za Seera, Aqeedah, Fiqh na masomo mbalimbali ya Kiislamu. #SeeraYaMtume #Muhammadﷺ #NasabuYaMtume #KuzaliwaKwaMtume #DarsaYaSeera #AlfiyatulIraqi #AlfiyyatulIraqi #AlAkhyAbuwRaslaan #MuwsaKilongozi #MarkazAlImaamMaalik #DarsaNa02 #MasomoYaKiislamu #IslamicLecture #Seerah #Sirah #Dodoma