Serikali kupiga marufuku mita za LUKU kutoka nje ya nchi
Millard Ayo
0:00 / 0:00
Serikali kupiga marufuku mita za LUKU kutoka nje ya nchi
8 488 просмотров · 8 лет назад
Millard Ayo
6,21 млн подписчиков
8 488 просмотров · 8 лет назад
Kampuni nyingine ya kisasa Baobab energy systems imezinduliwa na Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani ikiwa inalengo la kukuza Tanzania ya viwanda hivyo kiwanda hicho kitakuwa kinazalisha mita za umeme na kuwauzia TANESCO kwa bei ya kizalendo.