DALILI za Saratani ya mlango wa kizazi na TIBA yake
Mshani Wellness
0:00 / 0:00
DALILI za Saratani ya mlango wa kizazi na TIBA yake
1 012 просмотров · 8 месяцев назад
Mshani Wellness
102 тыс. подписчиков
1 012 просмотров · 8 месяцев назад
Saratani ya mlango wa kizazi (cervical cancer) ni changamoto inayoweza kumpata mwanamke yeyote katika umri wowote. Zipo sababu nyingi zinazoweza kusababisha tatizo hili lakini kubwa ni maambukizi ya muda mrefu ya virusi wa papiloma.
Katika video hii utapata elimu ya kina kuhusu virusi wa Human papiloma, saratani ya mlango wa kizazi, mambo yanayokuweka katika hatari ya kupata HPV na njia za kujikinga.
Follow us on:
Facebook: / mshaniwellness
Instagram: / mshani_wellness
Twitter(X): / mshaniwellness
TikTok: https://www.tiktok.com/@mshani_wellne...
Contact: 0743039890