Watu Wasiokula Asubuhi Wakapime Moyo na Presha ( Uchunguzi wa Kisayansi )
Doctor Daniel
0:00 / 0:00
Watu Wasiokula Asubuhi Wakapime Moyo na Presha ( Uchunguzi wa Kisayansi )
10 427 просмотров · 1 день назад
Doctor Daniel
64,5 тыс. подписчиков
10 427 просмотров · 1 день назад
Je, wewe ni miongoni mwa watu wanaoruka kifungua kinywa kila siku au wanaoanza siku bila kula chochote? 🫣
Tafiti zimehusisha kuruka kifungua kinywa na ongezeko la hatari ya magonjwa ya moyo na mishipa ya damu, pamoja na vifo vinavyotokana na sababu mbalimbali.
Lakini je, hii inamaanisha kila mtu asiyekula asubuhi atapata ugonjwa wa moyo? Na je, kunywa chai pekee kunatosha?
🎯 Tazama video hii hadi mwisho ujifunze kile ambacho tafiti zinaonyesha kuhusu kifungua kinywa, afya ya moyo na maisha yako ya kila siku.
Afya yako ni mtaji wako. Usipuuze elimu hii! ❤️
#Afya #AfyaYaMoyo #KifunguaKinywa #ElimuYaAfya #MagonjwaYaMoyo