Перейти к содержимому

Mwamba Ni Yesu | Osborns Praise

Osborns Praise

0:00 / 0:00

Mwamba Ni Yesu | Osborns Praise

249 330 просмотров · 1 год назад
Osborns Praise
20,9 тыс. подписчиков
249 330 просмотров · 1 год назад
The official video of "Mwamba Ni Yesu" by Osborns Praise. Connect with Osborns Praise: Instagram: instagram.com/osbornspraise YouTube:    / @osbornspraise   YouTube:    / @pastortonyosborn   Lyrics: Mwamba ni Yesu mwamba Mwamba ni Yesu mwamba Njia zake ni za kweli mwamba Halleluyah yoyo (Mwamba ni Yesu mwamba) Akisema Ndiyo hakuna wa kupinga Halleluyah yoyo (Mwamba ni Yesu mwamba) Akili zake hazichunguziki Mwamba huyu Yesu (Mwamba ni Yesu mwamba) Na neno lake ni amina na kweli Mwamba uyu Yesu (Mwamba ni Yesu mwamba) Matendo yake yanatisha kama nini huyu Yesu wangu (Mwamba ni Yesu mwamba) Akisema ndiyo hakuna wakupinga Utukufu Yesu wangu (Mwamba ni Yesu mwamba) Shuhuda zake ni amina na kweli Mwamba huyu Yesu (Mwamba ni Yesu mwamba) Matendo yake hayabadiliki mwamba huyu Yesu (Mwamba ni Yesu Mwamba) Mwamba ni Yesu mwamba (Mwamba ni Yesu mwamba) Mwamba ooo mwamba ,Mwamba ni Yesu mwamba Mwamba ooo mwamba ,Mwamba ni Yesu mwamba Iye iye iye iye iye Yesu anaweza Iye iye iye iye iye Yesu anaweza