Majani Ya Msitafeli Ni Dhahabu Kwa Kuku/Soursop leaves Benefits in chickens.
BAMUJOSI TV
0:00 / 0:00
Majani Ya Msitafeli Ni Dhahabu Kwa Kuku/Soursop leaves Benefits in chickens.
40 618 просмотров · 1 год назад
BAMUJOSI TV
8,16 тыс. подписчиков
40 618 просмотров · 1 год назад
KATIKA VIDEO HII, utajifunza jinsi ya kutengeneza dawa ya asili Yenye mchanganyiko wa Majani ya msitafeli, ukijua namna ya kuandaa dawa hii, hautahangaika tena na MAFUA AINA ZOTE, KIKOHOZI KWA KUKU, Coccidiosis, Colibacillosis , Miharo aina zote, pamoja na uvimbe, karibu ujifunze zaidi katika video hii, ahsante.
IN THIS VIDEO, you will learn how to prepare a natural medicine containing Soursop leaves, that have miracles in treating Diseases in poultry like Respiratory Diseases (ICDS AND CRDS) , Coccidiosis, Marek's Disease and other bacterial and viral Diseases, also how to use the medicine to improve health for chicks and chickens, learn more in this video, thanks.