IBADA MAALUM KIBALI KISICHOZUILIKA : KILA SUMAKU INAYONIVUTA KUNITOA KWENYE NJIA IVUTWE NJE ITOKE
Minister Mocky
0:00 / 0:00
IBADA MAALUM KIBALI KISICHOZUILIKA : KILA SUMAKU INAYONIVUTA KUNITOA KWENYE NJIA IVUTWE NJE ITOKE
5 244 просмотра · Трансляция закончилась 2 года назад
Minister Mocky
21,8 тыс. подписчиков
5 244 просмотра · Трансляция закончилась 2 года назад
BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada ya kipekee ya maombi na maombezi juu ya KIBALI KISICHOZUILIKA. Ibada hii ni maalum kabisa kwa ajili ya kutatua changamoto zote na kupata upenyo katika mahusiano na uchumi na yenye maelekezo ya kupita kwenye madhabahu inayokujia leo Jumapili ya tarehe 19 Mei 2024 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
Ibada hii ina kichwa cha somo "KILA SUMAKU INAYONIVUTA KUNITOA KWENYE NJIA ILI NISIPATE KIBALI IVUTWE NJE ITOKE KWA JINA LA YESU".
Ibada hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.