SIMULIZI YA KUSISIMUA FULL SEASON 1. LAANA YA UKOO KUISHI KWW KULA NYAMA ZA BINADAMU TU
Simulizi Mix
0:00 / 0:00
SIMULIZI YA KUSISIMUA FULL SEASON 1. LAANA YA UKOO KUISHI KWW KULA NYAMA ZA BINADAMU TU
49 206 просмотров · 4 года назад
Simulizi Mix
224 тыс. подписчиков
49 206 просмотров · 4 года назад
Kama hukupata msimu wa kwanza wa Simulizi hii inayomuhusu kijana Felix mwenda anae ishi na mama yake tu ambae mama huyo anaonekana kua na siri nzito sana baada ya mwanae kutomuonq hata siku moja mama yake akila chakula ... ikisemekana kwamba mama yake huwa anakula nyama tu... afu ni nyama mbichi ... ikiwa ni laqna ya ukoo wao... sasa ili kukomesha laana hiyo ilipaswa kijana mdogo felix amuue mama yake kwa upanga... Vinginevyo akifa kawaida basi laana hiyo itahamia kwa kijina felix baada tu ya mama yake kufa kama atakufa kawaida... kwa nini na ilikuaje? Season 1 yote mwanzo mpaka mwisho hii hapa... Season 2na3 Ziko tayari tuanze na hii.
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
• SIMULIZI YA KUSISIMUA FULL SEASON 1. LAA...
Kwa simulizi zaidi subscribe channel hii Simulizi Mix na kwa simulizi fupi subscribe channel simulizi fupi bofya hapa / simulizifupi