#LIVE MISA TAKATIFU KUMUAGA NA KUMUOMBEA MAREHEMU JUDITH FRANCIS- KAYANGA.
BCD ONLINE
0:00 / 0:00
#LIVE MISA TAKATIFU KUMUAGA NA KUMUOMBEA MAREHEMU JUDITH FRANCIS- KAYANGA.
345 просмотров · Трансляция закончилась 3 недели назад
BCD ONLINE
306 подписчиков
345 просмотров · Трансляция закончилась 3 недели назад
#LIVE MISA TAKATIFU KUMUAGA NA KUMUOMBEA MAREHEMU JUDITH FRANCIS- KAYANGA.
Adhimisho la Sadaka ya Misa Takatifu ya kumuaga na kumuombea, Marehemu Judith Francis, aliyekuwa Mwakilishi wa Radio Maria Tanzania, Jimbo Katoliki Kayanga.
Misa Takatifu inaadhimishwa na Mhashamu Almachius Rweyongeza, Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu George, Jimboni humo.
Raha ya milele umpe Ee Bwana na Mwanga wa Milele umwangazie, apumzike kwa amani. Amina