Перейти к содержимому

NJONI MATAIFA TUMWIMBIE BWANA.

St. Mary's Choir CHUNYA

0:00 / 0:00

NJONI MATAIFA TUMWIMBIE BWANA.

4 654 просмотра · 3 года назад
St. Mary's Choir CHUNYA
79 подписчиков
4 654 просмотра · 3 года назад
Karibuni sana wapendwa katika Bwana katika azimisho ya Jumapili ya Pasaka. Hakika mataifa yote mnakarihishwa kumwimbia Bwana kwa sababu yeye ni mshindi, kafufuka ni mzima, karibuni tumwimbie nyimbo nzuri. Wimbo umeimbwa nasi Watumishi wa Mungu Kwa ya Mt. Maria Parokia ya Bikira Maria wa Rozari takatifu Chunya Jimbo kuu la Mbeya. Organist: Florian Mangasini.