DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Aprili 04, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Aprili 04, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
7 318 просмотров · Трансляция закончилась 1 год назад
DW Kiswahili
335 тыс. подписчиков
7 318 просмотров · Трансляция закончилась 1 год назад
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Aprili 04, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
Mji wa Goma umekumbwa na changamoto kubwa ya biashara na masuala ya fedha kutokana na kukwama kwa huduma za benki kwa zaidi ya miezi miwili, hali inayosababisha wananchi kuendelea kuathirika kiuchumi. Biashara nyingi zimesimama, na watu wanakabiliwa na ugumu wa kupata huduma za kimsingi.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.