Перейти к содержимому

MCHIZI ANAFANYISHWA KAZI ZA NDANI UKWENI KISA HANA KAZI | ANASHINDA NYUMBANI

Mr. Khan recaps

0:00 / 0:00

MCHIZI ANAFANYISHWA KAZI ZA NDANI UKWENI KISA HANA KAZI | ANASHINDA NYUMBANI

17 974 просмотра · 3 дня назад
Mr. Khan recaps
64,6 тыс. подписчиков
17 974 просмотра · 3 дня назад
Maisha ya wapenda nao yanaingia kwenye wasi wasi mkubwa baada ya kijana kuelezwa na mke wake aende akaishi nae kwao yaani mwamba aende ukweni, jambo hili liliwashangaza watu wengi ikiwemo wazazi wa kijana lakini mwisho wa siku mchizi akaamua kufuata moyo wake unasema nini. #MAJO #SUBSCRIBE #SWAHILIMOVIERECAP #COMMENTS_LIKE #mrkhanrecaps