Перейти к содержимому

Azam Tv yaahidi migodi ,na burudani zaidi

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

Azam Tv yaahidi migodi ,na burudani zaidi

71 просмотр · 3 дня назад
UTV Tanzania
183 тыс. подписчиков
71 просмотр · 3 дня назад
Azam TV ni 'Moto Juu ya Moto' na hapa Mkuu wa Kitengo cha Promotion na Matukio, Sebastian Mwaikambo pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Masoko, Gloria Chuwa wanasema 'Yote Tisa' kumi ni kuwa migodi ya Azam TV na Burudani zaidi zitaendelea kuteremshwa kila kona ya nchi. Katika kuhakikisha hayo Azam TV imepanga kufungua migodi mipya katika maeneo ya Buhongwa - Mwanza, Mwenge - Dar es salaam, Katoro - Geita na wilaya yote ya Bukoba ili kuwapa burudani ya uhakika wateja wa maeneo yote nchini.